Alikiba atoa kigugumizi

Huku katika mtandao wa X, staa wa muziki Alikiba ameendelea kuumiza kichwa mashabiki zake kwa kuandika namba za kirumi ambapo ameandika XII・VIII・MMXXIII akimaanisha (Disemba 8, 2023) na XII・XX・MMXXIII akimaanisha (Disemba 20, 2023).

Unadhani King anakitu gani tarehe hizo?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *