Alikiba afanikisha msamaha wa Diamond kwa Zuchu

Usiku wa kuamkia Februari 25 Diamond Platnumz ambaye ni CEO pia wa Wasafi ampigia magoti mpenzi wake Zuchu kumuomba msamaha katikati ya perfomance ya Zuchu kwenye show yake aliyoifanya Kendwa Rocks, Visiwani Zanzibar.

Kwenye msamaha wa Diamond kwa Zuchu, Diamond aliamua kutumia wimbo wa Alikiba uitwao Mapenzi yanarun Dunia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *