Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Alidanganya amefariki iliapate pesa za bima na alipe madeni yake

Mfanyabiashara mmoja wa nafaka kutoka Andhra Pradesh, nchini India, Ketamallu Venkateswara Rao maarufu kama Pusaiya, anakabiriwa na kesi baada ya kubainika amedanganya amefariki iliapate pesa za kulipa madeni.

Pusaiya alikuwa na deni la fedha hivyo alipambana kujiondoa kwenye madeni bila mafanikio, ndipo alipofirikia kwamba ikiwa atajifanya amefariki dunia na madai ya pesa za bima yakiwasilishwa, atapata pesa za kulipa madeni yake.

Pusaiya aliiba maiti ili kudanganya ni yeye kwa kutegemea, pesa za Bima zikija basi ataweza kulipa madeni, lakini jambo hilo lilipobainika, alikamatwa na sasa anasubiri kesi mahakamani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *