Alichokifanya Mama Wema kwa Hamisa Mobetto na Lulu Diva

Usiku ya kuamkia leo ilikuwa ni kumbukizi ya kuzaliwa Miss Tanzainai 2006, Wema Sepetu na katika sherehe hiyo mama mzazi wa Wema aliwaita marafiki zake Wema, Hamisa Mobetto na Lulu Diva na kutaka wacheze muziki

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *