Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Alichofanya Mr. Nice kwa Marioo

Baada ya ukimya mrefu hatimaye Mr. Nice mzee wa kikulacho amerudi tena kwenye game na safari hii kwenye ngoma ya Marioo iitwayo ‘Shisha”.

“Ni heshima kubwa kutoka kwa mdogo wangu @marioo_tz aliponitafuta na kuniambia kuna kazi anataka tufanye nikajiuliza tutafanya nyimbo gani pamoja, ila mpaka sasa siwezi kuchelewa kusema kuwa tumefanya nyimbo kubwa na itafanya vizuri sana na ndio funga mwaka 2023 to 2024. Tell me that you are ready for us”, amendika Mr. Nice katika ukurasa wake wa Instagram.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *