Ikiwa ni siku chache tu! tangu Jaymelody kutangaza ujio wa albamu yake mpya!! Mkali huyo wa Bongo Flava amebainisha kuwa katika albamu yake hiyo ambayo itatoka hivi karibuni hakuna ngoma mpya hata moja.
Jay ambaye anafanya poa kwenye ngoma ya ‘Mapoz’ amesema hayo kupitia instastory yake.