Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Al Ahly wavunja mkataba na Miquissone

Club ya Al Ahly ya Misri imevunja Mkataba na Mchezaji wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Miquissone alijiunga na Al Ahly ya Misri akitokea Simba SC ya Tanzania 2021 ila amekosa nafasi ya kucheza toka aondoke Kocha Pitso Mosimane na sasa amevunja mkataba ili aende sehemu atakayopata nafasi ya kucheza.

Asilimia 90 Luis Jose Miquissone anarudi Simba SC inaeleza ameshakubaliana maslahi binafsi na Uongozi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *