Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Akon anataka furaha tu kwenye maisha

Staa wa muziki Akon ameunagana na mkali wa Afrika Kusini Brown, na wanatarjia kuachia wimbo wao uitwao “Enjoy That.”

Wimbo huu unazinduliwa chini ya Lebo ya Muziki ya Akon maarufu ya Konvict Kulture. “Kufanya kazi na Bw. Brown ilikuwa safari ya muziki ambayo ilituwezesha kuunda kitu cha pekee kwenye ngoma yetu ya Enjoy That,” amesema Akon katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni.Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *