Akon ajuta kumkosa Olamide

Staa wa muziki kutoka Senegal, Akon ameweka wazi jutio lake la kuto-msaini Olamide ambaye pia kwa sasa ni Big boss wa YBNL.

“Natamani ningemsajili Olamide kwenye lebo yangu, maana angesaini wasanii wengi wapya.”Amesema hayo Akon alipokuwa akifanya mahojiano na kituo cha Cool FM na kuongeza huyo ndio msanii aliyempenda na alimwambia pia walipokutana kwa mara ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *