
Ule usemi wa msema kweli ni mpenzi wa Mungu basi!! Burna Boy amesema yeye ni mkweli ila amewahi kusema uongo/ kudanganya Mahakamani na kituo cha polisi tu.
Staa huyo ambaye atakuwa kwenye albamu mpya ya Diddy, amesema hayo hivi karibuni kupitia Instastory yake kwa kuandika “ Muda pekee nakumbuka nimewai kudanganya ni mahakamani na kituo cha polisi” Akaongeza “ Kama haunipendi , sikupendi pia zaidi”.