Aki asema hana undugu na Ukwa

Chinedu Ikedieze, aka Aki, amesema yeye na Osita Iheme ‘Ukwa’ sio mapacha wala sio ndugu ni wana tu! ambao wameendana na kufanya kazi pamoja ila watu wanadhania ni ndugu hivyo anajikuta akipata kigugumizi akiudhuria matukio mbalimbali mashabiki umuhoji pacha wako yuko wapi.

Amefunguka staa huyo wa miaka 45, kwenye mahojiano aliyofanya na Naija Mouth-Piece, huku akibainsia kila mmoja wao anaishi Maisha yake na kuna muda kila mtu anafanya mambo yake ila linapokuja suala la kazi basi ndio wanafanya pamoja na uwezo wao umewafanya watu kujua ni ndugu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *