Ahmed Ally atupa dongo

Afisa habari na mawasiliano klabu ya Simba Ahmedy Ally ametuma kijembe kwa kuandika  “Ukisikia kukimbilia Polisi ndio huku”, “Mtoto wa kiume unakimbilia kushtaki tulia upambane, Mie ndio maana akinichokoza namuaangalia tu maana namjua ni kiumbe dhaifu sana”.

Kauli hii ametoa huku akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa mbalimbali wa jeshi la polisi;

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *