Afya ya Mr. Ibu inazidi kuwa mbaya

Mtoto wa mwigizaji mkongwe kutoka Nigeria,  Ibu, Vincent Okafor, ameeleza kwa nini babake hajapelekwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu ya ziada kama ambavyo awali ilitangazwa baada ya kukatwa mguu.

Kwa mujibu wa walaka aliondika kijana huyo ameeleza kuwa baba yake amefanyiwa upasuaji mwingine na madaktari wamemkataza baba yake kutosafirishwa  nje kwani hali yake hairuhusu.

Pia kijana  ameelza kuwa baba yake, ana ugonjwa wa mishipa ya damu ambao mara nyingi husababisha kuganda kwa damu hivyo madaktari wanapambana na hali hiyo ilakae sawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *