Afya ya Mr. Ibu baada ya kukatwa mguu

Mtoto wa muigizaji, Mr. Ibu, Jasmine ameweka video mtandaoni akionyesha hali ya kifaya ya baba yake baada ya kufanyiwa upasuaji wa kukatwa mguu ili kunusuru Maisha yake.



Jasmine ameweka video hiyo katika ukurasa wake wa Instagram siku ya jana Alhamisi, ikiwa ni siku 10 tu baada ya staa huyo kutoka Nollywood kufanyiwa upasuaji mara saba, ikiwa ni pamoja na kukatwa mguu wake mmoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *