Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Adekunle Gold yupo tayari kwa lolote.

Adekunle Gold amesema kuwa albamu yake ya tano iitwayo ‘Tequila Ever After’ imetoka na atakuwa akimjibu mtu yoyote anayemsema vibaya mtandaoni, kwani na yeye ni binadamu na anayo haki ya kueleza kile ambacho anajisikia wakati huyo.

Adekunle Gold amesema hayo kupitia Beats FM, na kubainisha kuwa hato hofia kujibu mtu anayeleta shida kwakwe sababu tu yeye ni mtu maarufu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *