MwanaYouTube aitwaye Paulo Cezar Goulart Siqueira, maarufu kama PC Siqueira kutoka Brazil, anadaiwa kujiua siku ya Jumatano,Desemba 27. Huku chanzo kikitajwa ni uchunguzi unaendelea dhidi yake kuhusu picha za unyanyasaji wa kingono kwa watoto.
Mwili wa PC Siqueira umekutwa nyumbani kwa mpenzi wake wa zamani, Maria Watanabe.