Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Achomwa moto baada ya kula ndizi mbili

Mtoto Rose Sagauli mwanafunzi wa awali katika shule ya msingi Mji Mwema iliyopo Mtaa wa Mji Mwema Halmashauri ya Mji Njombe mkoani Njombe, amechomwa moto kwenye mikono yake na kaka yake Zedekia Maguchi (18) mwanafunzi wa kidato cha tano kwa tuhuma za kula ndizi mbili.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mji Mwema, Leonard Mkupi amesema inadaiwa kuwa sababu ya mtoto huyo kuchomwa moto ni mara baada ya kuhisi njaa na kuingia ndani kuchukuwa ndizi mbili na kula.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *