Unataka kunukia kama Beyoncé, basi utalazimika kununua manukato yake mapya, CÉ NOIR kwa kaisi cha $160 sawa na Tsh/= 400,000 kwa oda ya mapema kabisa.
Kumbuka manukato hayo yataingia sokoni rasmi ifikapo Novemba mwaka huu na wataoweza kufikiwa na mzigo huu ni Marekani na Canada
