Klabu ya Soka ya Azam FC imethibitisha kupokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji Mchezaji wa timu hiyo Price Dube ambaye ni raiwa wa Zimbabwe.
Vilabu hivyo ni Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz