Namna ya kupendeza mwezi huu wa Valentine

Katika mwezi huu watu wengi wanatarajia kupata muonekano wa mavazi mekundu, meupe na meusi, ila unaweza kuwa tofauti kwa kuziacha rangi hizo kwa asilimia kubwa.

Mwezi huu jaribu kutumia rangi ya Kijani, Orange na hata Pink !!Ndio rangi hizi zikipata mchanganyiko mzuri zinavutia sana na zitaleta muonekano wa kipekee kwenye Valentine yako.

Pia unaweza kuibia kwa mbali rangi kama Nyekundu kwenye kijani au, Orange na Pink hizi ni rangi zinazoenda sana bila kusahau Orange na Kijani.

Usiache kujaribu muonekano wa rangi hizi kwenye msimu wa Valentine.!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *