Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Rayvanny amebanisha kiwa Remix aliyofanya ya Dayoo ‘Huu Mwaka” ni ngoma bora na kolabo bara zaidi kwa mwaka 2024.
Rayvanny pia anasema video ya ngoma hiyo ni video bora zaidi kwa mwaka huu.
Ngoma ya Huu Mwaka imetoka mapema mwaka huu na ni ngoma inayohusu kumtia nguvu kijana wa Kitanania asikate tamaaa