Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Harmonize anazifuata nyayo za Diamond Platnumz

Staa wa muziki Harmonize_tz anaingia kwenye orodha ya wasanii watano Tanzania wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram ambapo leo amefikisha wafuasi Milioni 10.

Nafasi ya kwanza inaongozwa na Diamond Platnumz, ikifuatiwa na Wema Sepetu, kisha Hamisa Mobetto na Shilole.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *