Staa wa Basket Ball Hashimu Thabiti wikindi hii alikuwa jiji Dodoma kushuhudia mtanage wa mchezo huo wa kikapu kati ya Dar City na Kisasa Hero ambapo mwanadada Tanasha Donna pia alikuwepo na alikuwa ameketi karibu na nguli huyo wa kikapu aliyewahi kukipiga NBA.
Katika mchezo huo Dar City walikuwa na vikapu 49, wakati Kisasi Heros wakipata 43.