Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Naira Marley ajisalimisha polisi, ni kifo cha Mohbad

Staa wa muziki Naira Marley , ametua nchini Nigeria kwaajili ya kusaidia polisi uchunguzi wa kifo cha rapa Mohbad kilichotokea Septemba 12/2023.

“Ningependa kuwataarifu kuwa nimerejea hivi punde Lagos, Nigeria ili kusaidia mamlaka na uchunguzi unaoendelea. Ni muhimu nifanye sehemu yangu kwa Imole. Nitakutana na polisi, na ni matumaini yangu kuwa ukweli utafichuka na haki itatendeka,” amendika staa huyo kwenye mtandao wa Twitter (X)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *