Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

PICHA: Fainali za ubingwa wa Kikapu Mkoa wa Shinyanga.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Johari Samizi, leo alikuwa mgani rasmi kwenye Fainali ya mchezo wa Kikapu Mkoa wa Shinyanga, kati ya  Risasi dhidi ya B4 Mwadui. 

Timu ya Risasi iliibuka mshindi dhidi ya B4 Mwadui kwa vikapu 67-49. Mchezo huo umechezwa kwenye uwanja wa Risasi Mazingira Center.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *