Klabu ya Soka ya Yanga SC, imeendelea kujiimarisha kileleni ikifikisha pointi 10 mbele ya mahasimu wao Simba Sc kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Wanalambalamba Azam Fc, na kuwa kileleni kwa pointi 67.
FT: Azam FC 1-2 Yanga SC
⚽ 12’ Pacome
⚽ 34’ Dube
⚽ 82’ Mwaikenda


