SIMBA YAKABIDHIWA MILIONI 30 ZAWADI YA GOLI LA MAMA

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma akimkabidhi nahodha wa timu ya Simba SC, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ milioni 30 ikiwa ni ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa timu za Tanzania zinazoibuka na ushindi kwenye mashindano ya Kimataifa.

Leo April 9, 2025 kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la shirikisho Afrika, Simba imewaondoa timu Al Masry ya kutoka Misri kwa Mikwaju ya penati (4- 1).

#GoliLaMama

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *