GAVANA, MKEWE WATUPWA JELA KWA KUKWAPUA ZAIDI YA BILIONI 1

Gavana wa zamani wa kaunti ya Kiambu, Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela au alipe faini ya shilingi milioni 53.5 za Kenya (Tshs. Bil. 1.05), baada ya kupatikana na hatia ya kupokea shilingi milioni 588 kwa njia za kifisadi.

Hukumu hiyo, imetolewa na Mahakama katika kesi ya utoaji zabuni kinyume cha sheria iliyokiwa ikimkabili pamoja na mkewe Susan Ndung’u ambaye amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja au faini ya shilingi Kshz 500,000 (Tshs. milioni 10).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *