Drake apigwa faini ya milioni 560

Rapa raia wa Canada anayefanya muziki nchini Marekani (USA) Drake, amepigwa faini ya US Dollar ($230k) sawa na zaidi ya Milioni 560 za Kitanzania kwa kuzidisha Muda wa Kutumbuiza kwa mujibu wa Mji wa Detroit huko Michigan nchini Marekani.

Suala la Kuzingatia sheria kwa nchi za wenzetu linapewa Kipaumbele sana, ili kuhakikisha kila mtu anaishi kwa mujibu wa taratibu na sheria bila kuudhi wa;la kuathiri shughuli zingine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *