AZAM WAMTAMBULISHA ZOUZOU KAMA MCHEZAJI WAO MPYA…

Klabu ya Azam FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa kimataifa wa Ivory Coast, Zouzou Landry kutoka klabu aliyokua anaichezea ya Afad Djakanou iliyopo Ivory Coast kwa mkataba wa miaka minne.

Zouzou baada ya kutambulishwa alisema “Ninayofuraha kujiunga na Azam FC, tutaonana hivi karibuni.”  – Zouzou

Zouzou Landry anayemudu kucheza beki ya kati (LCB) na beki ya kushoto (LB), amesaini mkataba wa miaka minne, utakaomfanya awepo kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2028.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *