Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA imekutana kwa ajili ya kujadili watia nia kwenye nafasi mbalimbali za Mabaraza ya Chama hiko ambapo Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika wameonekana kwenye picha za pamoja hadharani hivi karibuni.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz