Dj Mkongwe na Mmiliki wa Radio ya EFM ameshare playlist yake ya nyimbo alizosikiliza zaidi mwaka 2024 ikiwa ni saa chache kabla ya kukamilika kwa mwaka 2024 na kuingia mwaka 2025.
Kwenye playlist yake nyimbo alizipanga kama ifuatavyo.
- Komasava- Diamond Platnumz
- Hakuna Matata- Marioo
- Olodumare – Joel Luaga
- Disconnect – Harmonize ft Marioo
- Yule Rmx – AY ft Marioo
- Wivu – Dj Moshizo
- Unanichekesha – Marioo
- Kautaka – Jaivah
- Tera Chata – Misso Missondo
- 2025 – Marioo ft Stans
- Ololufe mi – Jux ft Diamond
- Dah – Nandy ft Ali Kiba
- Mungu Abless – Kidene Fighter ft Meja Kunta
- Top Notch – Marioo ft Ali kiba
- Pwita – Zuchu
- Mazoea – Darassa ft Harmonize
- Mapoz – Diamond ft Jay Melody/ Mr blue
- Bongo Man – Chino
- Ova – Mboso
- Mwakitale – Mavoko ft Chino
Unahisi ni wimbo gani ulipaswa kuwepo kwenye hii playlist na umesahaulika?