Mechi zilizokua zinachezwa leo za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara zimekamilika kwenye viwanja mbalimbali vya michezo ambapo Simba inaongoza kwa kuwa na point 40 ikifuatiwa na Yanga ikiwa na point 39, Azam FC wao wana point 36 na Singida Black Stars nao wakiwa na point 36 piakwa kucheza michezo 16.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz