BENKI KUU YA TANZANIA YATOA VIWANGO VYA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI LEO DISEMBA 13 2024.

Benki kuu ya Tanzania kwenye tovuti yao wametoa viwangi vya kubadilishia fedha kwa dola ya Marekani, Pound ya Uingereza, Euro, China na Japan. Huku dola ikiuzwa kwa Shilingi 2,317.66 na ikinunuliwa kwa Shilingi 2,294.7139.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *