
Rapa kutoka nchini Marekani, 50 Cent amezindua rasmi studio za muziki za G-Unit huko Shreveport, Louisiana, nchini Marekani .

Gwiji huyo wa biashara amezindua hizo Studio za G-Unit, ambazo zitahusika kutengeneza muziki na TV shows ikiwemo tamthilia na filamu.

