Staa wa muziki, Harmonize ameweka wazi kuwa albamu yake ya nne itaitwa ‘Visit Bongo’ na itatoka ifikapo Novemba 24.
Albamu ya kwanza ya Harmonize ilitoka Machi 14, 2020 ambayo ilipewa jina la Afro East, High School ikatoka Novemba 5, 2021. Kisha Made For US Oktoba 28, 2022.