Mkongwe wa muziki 2Baba, amesema sio lazima kizazi cha sasa kumtambuka kama gwiji wa muziki kwani hawana deni, japo anashukuru wanapompa heshima kwa kutambua hadhi yake ya lakini sio lazima kwao.

“Hakuna mtu anayenidai chochote. Kwangu mimi haipunguzi kitu kama wasanii wachanga hawatambui hadhi yangu na heshima yangu ya muziki,” amesema staa huyokupitia podcast aliyofanya na Shopsydoo.