
Card B athibitisha kuachana na Offset
Rapa Cardi B amethibitisha kuachana na mumewe Offset ambaye wamekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka mitano. Cardi B amesema yupo Single kupitia Live aliyofanya
Blog Archives – Home
Rapa Cardi B amethibitisha kuachana na mumewe Offset ambaye wamekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka mitano. Cardi B amesema yupo Single kupitia Live aliyofanya
Majaribio ya chanjo ya UKIMWI yaliyoanza katika Nchi za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini yamesitishwa kutokana na takwimu za waliochanjwa kuonesha Chanjo waliyopata haina ufanisi
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, David Misime Amewataka Wananchi kuchukua tahadhari kubwa wanapotaka kuvuka mito,madaraja,makorongo ambayo yamejazwa na mvua
Imeelezwa kuwa hadi sasa nyumba zaidi ya 100 zimepotea Kutokana na mafuriko yaliyotokea Hanang na kusababisha vifo vya watu 87 na majeruhi 137 kutokana na
Rapa 2 Chainz anaendelea vizuri baada ya kukubizwa hopitali baada ya kupata ajali mbaya ya gari iliyotokea leo Jumamosi asubuhi(USA) Rapa huyo alikuwa akihudhuria Art
Rais Samia Suluhu Hassan amewaachia huru wafungwa 263 ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Aidha, amewapunguzia adhabu wafungwa wawili
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz