PICHA: MUONEKANO WA UWANJA MPYA WA DODOMA

Picha: Leo Februari 13, 2025 imefanyika hafla ya utiaji saini Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Dodoma, utakaotumia kiasi cha Sh. bilioni 55.5 ukiwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 30,000.

Huu hapa Muonekano wa Uwanja mpya wa Michezo Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *