MRADI WA MAJI MBULU WALETA MANUFAA KWA WANANCHI, RC SHIGELA AWAPA NENO RUWASA
Afarah Suleiman, Mbulu - Manyara.Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martine Shigela, ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, ambapo ame...